Wakati ilipowekwa: May 3rd, 2018
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Ngara Mjini (NGUWASA), katika kipindi cha robo ya tatu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, imefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi milioni 34.7 na kutumia zaid...
Wakati ilipowekwa: May 2nd, 2018
“Wazazi na walezi wa watoto katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wanachangia kuongezeka kwa wavivu na wazembe kutokana na malezi yao mabaya.” Alisema Paroko wa parokia ya Ngara Mjini Padre Sixmund Ny...
Wakati ilipowekwa: April 27th, 2018
Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wameshauriwa kutumia mifumo ya kibeki iliyoenea nchini, ili waweze kuepuka matatizo mbalimbali yakiwemo ya fedha bandia na kuvamiwa.
Hayo yamesemwa na...