Wakati ilipowekwa: April 7th, 2017
Chumba kipya cha darasa kimezinduliwa katika shule ya msingi Mumiterama kata ya Nyamiaga na mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Diwani wa kata ya Nyamiaga mh. Julius Ernest. Chumba hicho kimewezeshw...
Wakati ilipowekwa: April 7th, 2017
Wafanyakazi wa hospitali ya wilaya Nyamiyaga wanaendelea na mafunzo ya mfumo wa afya ambayo yanatolewa na Afisa TEHAMA wa mkoa Bw. Ladislaus Kaijage. Mafunzo haya yanatolewa kutekeleza agizo la serika...
Wakati ilipowekwa: April 5th, 2017
Afisa Elimu Msingi (aliyevaa suti) ndg. Gideon Samson Mwesiga akipokea madawati 100 kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ngara kutoka kwa Afisa Uhusiano wa Kabanga Nickel ndg.B...