Wakati ilipowekwa: September 6th, 2017
Wanafunzi wa darasa la saba wameungana na wanafunzi wengine wa darasa la saba nchi nzima kufannya mtihani wao wa mwisho wa Taifa wa kumaliza elimu ya msingi. Mtihani huo ambao ni wa siku mbili umeanza...
Wakati ilipowekwa: August 25th, 2017
Halmashauri ya wilaya ya Ngara imepokea vitanda 20, Magodoro 20 na Mashuka 50 kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya. Akiongea na wananchi wa kata ya Murusagamba Mh. Rafael Gashaza alieleza kuwa vif...
Wakati ilipowekwa: August 14th, 2017
Mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu akiongea katika baraza maalum la kujadili hoja za mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali ameagiza yafuatayo:-
Watoa huduma wote katika Ha...