Wakati ilipowekwa: June 12th, 2017
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji ambaye pia ni afisa elimu wa shule za msingi ndugu Gideon Mwesiga akifungua mafunzo ya mfumo wa uhasibu na utoaji taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea huduma (Faci...
Wakati ilipowekwa: June 12th, 2017
Ofisi ya Mganga mkuu wa wilaya kwa kushirikiana na ofisi ya mkuu wa wilaya imeamua kuanzisha kampeni ya kuhamasisha wananchi wa Ngara kujiunga na mfuko wa Bima ya afya ya jamii yani CHF na pia kuchang...
Wakati ilipowekwa: April 28th, 2017
Mratibu wa TASAF kwa kushirikiana na wataalam wa Halmashauri tayari wameanza kusimamia utekelezaji wa miradi ya kutoa ajira za muda (PWP) kwa walengwa wa mpango wa TASAF III. Miradi hii ni ya hiari na...