Wakati ilipowekwa: November 22nd, 2018
Idara ya Maendeleo ya Jamii katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, imewataka watendaji wa kata na wa vijiji wahakiki kwa umakini, kuwepo kwa vikundi vya kijamii, kiuchumi na sanaa vya akina mama, vija...
Wakati ilipowekwa: November 21st, 2018
Kamati ya fedha, Mipango na Uongozi imeridhika na zoezi la kupasua na kupanua barabara za vitongoji vya Mji wa Ngara, linalofanywa na Tanzania Rural and Urban Roads Agency (TARURA), kwa kushirikiana n...
Wakati ilipowekwa: November 19th, 2018
Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wameshauriwa kujenga tabia ya kutatua matatizo yao wenyewe, badala ya kusubiri serikali iwafanyie kila kitu, kwani vitu vingine viko ndani ya uwezo wao.
...