Wakati ilipowekwa: April 20th, 2025
NGARA
20.04.2025
> Ndugu wananchi wote wa Wilaya ya Ngara Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Pasaka ambapo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo. ...
Wakati ilipowekwa: April 17th, 2025
NGARA UPDATES
17/04/2025
Zoezi Endelevu kwa wilaya kufanya usafi kila Alhamis viongozi kupita kuangalia ikiwa na kushiriki kwa pamoja kufanya usafi na wananchi.
...
Wakati ilipowekwa: April 16th, 2025
NGARA UPDATES
16/04/2025
kimefanyika kikao cha maandalizi ya maadhimisho ya sherehe ya wafanyakazi mei mosi kimkoa itafanyika wilayani Ngara
Kikao hicho cha maandalizi kimefanyik...