Wakati ilipowekwa: November 6th, 2018
Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya Ngara, wametakiwa kuwekeza katika elimu, kwa madai kwamba wapende wasipende wakati ni ukuta elimu tunakoelekea haikwepeki.
Ujumbe huo umetolewa na Afisa Ustawi...
Wakati ilipowekwa: October 29th, 2018
Wananchi wote katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wametakiwa kushiriki kikamilifu katika zoezi la kunyunyizia dawa ya kuua mbu majumbani, ili waweze kuutokomeza ugonjwa wa Malaria ifikapo Mwaka 202...
Wakati ilipowekwa: October 19th, 2018
Wakulima wa mibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wametakiwa kupanda miche ya kisasa ya zao hilo, ili waweze kuongeza uzalishaji kwani miche ya zamani haina tija tena kwa wakulima hao.
Hayo...