Wakati ilipowekwa: January 24th, 2024
Zoezi la ufuatiliaji Ufundishaji shule za Msingi limeendelea shule zilizopo kata ya Kasulo wilayani Ngara.
Zoezi hilo la ufuatiliaji linaongozwa na Afisa elimu Msingi Bi Josline Bandiko akiambatana...
Wakati ilipowekwa: January 23rd, 2024
Ngara.
Mhe Col Mathias Julius Kahabi Mkuu wa wilaya ya Ngara, amefanya Kikao cha Kamati ya Ushauri wa Kodi cha Wilaya na Wajumbe wa Kikao hicho .
ambapo wamejadili na kuweka Maazimio mbalim...
Wakati ilipowekwa: January 22nd, 2024
WILAYANI NGARA
Afisa elimu Msingi Bi Josline Bandiko ambaye ameongoza timu ya Maafisa Elimu Utawala kufanya zoezi la ufuatiliaji Ufundishaji shule za Msingi.
Ambapo Leo wametembelea s...