Wakati ilipowekwa: June 20th, 2018
Wakuasanyaji wa mapato katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wamehimizwa kuacha tabia ya kukusanya fedha ya serikali kwa kutumia vitabu, badala yake waikusanye kwa kutmia kifaa cha kukusanyia mapato ...
Wakati ilipowekwa: June 20th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara imepokea shilingi milioni 230 toka serikali kuu, kwa ajili ya kujenga madarasa manne na mabweni mawili katika shule ya sekondari ya Kabanga.
Mkurugenzi Mendaji wa Hal...
Wakati ilipowekwa: June 19th, 2018
Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wamepokea kwa bashasha miradi ya kilimo na ufugaji, itakayofadhiliwa na mradi wa Local Areas Development Projects (LADP), katika eneo lanaloathirika na ...