Wakati ilipowekwa: August 16th, 2023
Ndugu wananchi, Mimi Col. Mathias Julius Kahabi Mkuu wa wa wilaya ya Ngara naomba kuleta salamu za shukurani kwenu, Tarehe 12 Agost, 2023 tulianza shamra shamra za mapokezi ya Mwenge wa uhuru kiwilaya...
Wakati ilipowekwa: August 14th, 2023
Hospitali ya Wilaya ya Ngara, iliyopo kata ya Mbuba imewekewa jiwe la msingi na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2023, Ndg. Abdalla Shaib Kaim baada ya kutembelea na kukagua shughuli za ujenz...