Wakati ilipowekwa: June 29th, 2018
Mradi wa umeme wa maji wa Rusumo kupitia mradi wa Local Areas Development Projects (LADP), unatarajia kutumia zaidi ya dola za Kimarekani milioni 5, kufadhiri miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya...
Wakati ilipowekwa: June 26th, 2018
Wananchi wote katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wametakiwa kutoa kipaumbele katika elimu kwa kuwasaidia vijana waliomaliza kidato cha nne waweze kuendelea na masomo yao ya kidato cha tano.
Wito...
Wakati ilipowekwa: June 25th, 2018
Serikali imeipatia Halmashauri ya wilaya ya Ngara, jumla ya vitabu 4,916 kati ya 9,832 vya mitaala mipya vinavyotarajiwa kuletwa, kwa ajili ya kujifunza na kufundisha watoto wa darasa la nne.
Mkuu ...