Wakati ilipowekwa: December 28th, 2023
Leo siku ya Alhamis tarehe 28/12/2023 Mhe Kanali Mathias J.Kahabi Mkuu wa Wilaya amepita kukagua usafi eneo la Ngara Mjini.
Wananchi wakiwa wamejitokeza katika maeneo yao ya Biashara, Nyumbani kufa...
Wakati ilipowekwa: December 27th, 2023
Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi Mkuu wa wilaya Ngara ametoa Motisha ya Tsh 50,000/ kwa Mshindi wa usafi kwa mwezi Desemba 2023 ambapo Ndg Japhet Jakob Sulisaho - Mtendaji wa Ka...
Wakati ilipowekwa: December 26th, 2023
Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amepiga marufuku kwa wakulima kuuza mazao kwa kutumia lumbesa.
Kigahe amepiga marufuku hiyo kwa wakulima na wafanyabiashara dese...