Wakati ilipowekwa: June 13th, 2024
Leo Tarehe 13/6/2024,
Uongozi wa Tembo Nickel umetoa Vitunzia taka 25 vyenye thamani ya Tsh 7.5m.
Makabidhiano hayo yanafanyika hadharani yamefanyika mbele ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Ngara...
Wakati ilipowekwa: June 14th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ngara Mh. Wilbard J. Bambara akiongozana na Kamati ya Fedha,Utawala na Mipango wametembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika wilaya ya Ngara. Katika zia...