Wakati ilipowekwa: April 30th, 2019
Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wametakiwa kujitokeza kwa wingi, wapate elimu katika sekta ya utalii, ili waweze kuinua kipato chao, lakini na serikali iweze kupata mapato yake.
...
Wakati ilipowekwa: April 17th, 2019
Wanafunzi wa O-Level katika shule ya sekondari ya Muyenzi, wametakiwa kuwatumia wanafunzi wa A-Level, ili wawasaidia katika masomo yao, wafanye vizuri katika mithani ya ndani na ya taifa.
Akiongea ...
Wakati ilipowekwa: April 16th, 2019
“Haki ya Mungu ninawaambia; kama uliteuliwa Afisaelimu kata au Mkuu wa shule kwa lengo la kupumuzika na siyo kusimamia taaluma, urejeshe barua ya uteuzi wako, maana unaondoka muda si mrefu.” Alisema A...