Wakati ilipowekwa: February 3rd, 2024
Leo siku ya Jumamosi imefanyika Jogging na mazoezi ya pamoja Kwa kushirikisha watumishi , wafanyabiashara,Wafugaji, Wakulima, na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mchungaji mwema.
Jogging...
Wakati ilipowekwa: February 2nd, 2024
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa dharura wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...