Wakati ilipowekwa: May 13th, 2023
Kikao Cha viongozi wa Timu zilizosajiliwa kisheria na viongozi wa kamati ya michezo, chama cha michezo Kwa ajili ya kuangalia Maendeleo ya soka Wilayani Ngara ikiwa ni pamoja na ada zinazotakiwa kulip...
Wakati ilipowekwa: May 20th, 2023
Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya Bw Solomon Kimilike amekutana na wanamichezo timu ya Wilaya Umitashumta . Mkurugenzi amewatakia Kila la kheri katika mashindano Ngazi ya Mkoa na kuwataka kufanya...
Wakati ilipowekwa: May 19th, 2023
Imefanyika zoezi Maalum la kuweka Saini mikataba ya ujenzi Kwa pande zote mbili Wilayani Ngara uongozi wa Halmashauri akiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Bw Solomon Kimilike, Mkiti H...