Wakati ilipowekwa: December 19th, 2018
Wakati wazazi wa watahiniwa 25,499 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka 2018, wanajipanga kuwasajili watoto wao kidato cha kwanza mkoani Kagera, watahini 14,046 waliofaulu wanasubiri hatima ya u...
Wakati ilipowekwa: December 13th, 2018
Wanafunzi 25 wa shule za sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wameacha shule kwa sababu ya kupata ujauzito, na hakuna mhusika aliyekamatwa kwa kusababisha tatizo hili, ingawa kesi hizo zim...
Wakati ilipowekwa: December 12th, 2018
Wakuu wa shule za sekondari, Maafisaelimu Kata, Watendaji wa Kata na Vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wametakiwa kuchukua hatua za kudhibiti utoro shuleni, kulikopelekea wanafunzi wapatao...