Wakati ilipowekwa: December 14th, 2023
Kikao hicho Cha wadau wa masuala ya kijinsia katika Kuhitimisha kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto kimefanyika katika Ukumbi wa kilimo uliopo Ngara Mjini.
Mgeni rasmi...
Wakati ilipowekwa: December 13th, 2023
Mkuu wa wilaya Mhe. Kanali Mathias Julius Kahabi, ameendelea na ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika Kata ya Murusagamba vijiji vya Ntanga na Magamba tarehe 13/12/2023.
 ...
Wakati ilipowekwa: December 12th, 2023
Mafunzo yameendelea Kwa watendaji wakata, vijiji , maafisa elimu kata , Wakuu wa shule, walimu wakuu, Wakuu wa vituo vya afya , maafisa Kilimo kata na maafisa Maendeleo ya jamii kata.
Mafunzo hayo ...