Wakati ilipowekwa: April 22nd, 2024
Ngara Leo 22/04/2024.
Kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya muungano halmashauri ya wilaya ya Ngara imeendelea na sherehe za maadhimisho hayo kwa kufanya shughuli za kimaendeleo kama upandaji wa miti...
Wakati ilipowekwa: April 13th, 2024
Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe. Wilbard Bambara ameongoza kamati kuzunguka kuona vyanzo vya mapato na kuhamashisha ulipaji wa mapato ya halmashauri.
ngaradc.go.tz...
Wakati ilipowekwa: April 12th, 2024
Mhe Mkuu wa mkoa Kagera Hajatt Fatuma Abubakari Mwassa, ametoa zawadi kwa watoto wanaotoka katika mazingira magumu, wanaolelewa kwenye kituo Cha Nazareth wilayani Ngara.
Zawadi hi...