Wakati ilipowekwa: March 19th, 2018
Walimu wa shule za sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wanaohamia shule za msingi wamekumbushwa kwamba uhamisho huo si wa adhabu, bali ni kwa ajili ya kupunguza tatizo la walimu katika sh...
Wakati ilipowekwa: March 15th, 2018
Wakuu wa shule za sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wameagizwa kusimamia kanuni na taratibu za ufundishaji, ili kuongeza ufaulu kwa kufuta daraja la nne na ziro katika mitihani ya taifa...
Wakati ilipowekwa: March 15th, 2018
Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wameagizwa kutumia mvua zinazoendelea kunyesha, ili waweze kujipatia mazao ya kutosha kwa ajili ya chakula na biashara.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya W...