Wakati ilipowekwa: August 13th, 2025
NGARA UPDATES
13/08/2025
Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara amepokea ugeni toka Kampuni ya DON Consultant Ltd inayofanya tathmini za awali kuhusu mradi wa kilimo cha Umwagiliaji ...
Wakati ilipowekwa: August 12th, 2025
Afisa Elimu Mkoa wa Kagera Ndg Michael Ligola amefanya ziara kutembelea na kukagua ujenzi wa Shule Mpya ya Amali inayojengwa Wilaya ya Ngara,
Ambapo alifuatana na K/Afisa Elimu Sekondari Ndg ...
Wakati ilipowekwa: August 12th, 2025
Afisa Elimu Mkoa wa Kagera Ndg Michael Ligola akiwa na Afisa Taaluma Mkoa Bi Honoratha Kabunduguru amefanya kikao kazi katika Ukumbi wa Ngara Sekondari na Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu , Walimu ...