Wakati ilipowekwa: August 14th, 2018
Idara ya Maendeleo ya Jamii katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, imefanikiwa kukopesha vikundi vya akina Mama na Vijana shilingi milioni 30,000,000/= katika mwaka wa fedha wa 2017/2018.
Hayo ni k...
Wakati ilipowekwa: August 10th, 2018
Kiasi cha shilingi milioni 592,519,470.03 zimetumika katika mategenezo ya barabara 32 zenye urefu wa kilomita 86, na ujenzi wa makaravati 20 katika barabara 14 katika kipindi cha Julai 2017/2018...
Wakati ilipowekwa: August 6th, 2018
Walimu na wanafunzi wa darasa la saba katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wametakiwa wasibweteke kwa matokeo mazuri ya mtihani wa Mock wa mkoa wa Kagera, badala yake waongeze jitiada ili wafanye vi...