Wakati ilipowekwa: August 30th, 2025
Mhe Col Mathias J kahabi Mkuu wa Wilaya Ngara anawakaribisha Wananchi wote kwenye Mapokezi ya Mwenge wa uhuru tarehe 13/09/2025 Uwanja wa Mpira Baramba LUKOLE HIGH SCHOO ...
Wakati ilipowekwa: August 30th, 2025
Pichani ni DC Ngara Mhe Col Mathias Julius Kahabi akikagua mradi wa ujenzi wa Kituo cha afya uliopo Kijiji cha Kanazi, Kata ya Kanazi ambao unagharimu kiasi cha shs 250m na unatarajiwa kuwekewa j...
Wakati ilipowekwa: August 28th, 2025
Leo tarehe 28/8/2025, Mhe Col Mathias Julius Kahabi ameshiriki zoezi la usafi katika maeneo ya Nakatunga.
DC Col Kahabi alishiriki usafi huo pamoja na Viongozi wengine akiwemo Mhe Hafidh ...