Wakati ilipowekwa: December 5th, 2025
NGARA UPDATES
05/12/2025
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Dotto Jasson Bahemu, amefanya ziara katika Hospitali ya wilaya ya Ngara, Mbuba, ili kuona maendeleo ya ujenzi wake.
Akiwa Hospitalini h...
Wakati ilipowekwa: December 4th, 2025
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 04, 2025 amefunga semina elekezi kwa Mawaziri na Naibu Mawaziri iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar...
Wakati ilipowekwa: December 4th, 2025
Leo tarehe 04/12/2025, Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara ametembelea Kiteule cha JWTZ kilichopo Kijiji cha Murusagamba, Kata ya Murusagamba Tarafa ya Murusagamba Wilayani Ngara.
Mhe Col ...